Michoro ya ukutani kwenye vyumba vya watoto wadogo chini ya miaka 5
Katika vyumba vya watoto wetu, hua tunaviacha tuu kuta zake zikiwa ziko plain, na baadhi ndio siku hizi wanaweka picha za kubandika katika kuta hizo, Kuta ninazozizungumzia ni zile ambazo hazina madirisha, ama makabati, ni ule ukuta ambao unawekea kitanda, kama ndio headboard etc.......
Hii ni michoro na sio stika ama wallpaper, ukipata mchoraji mzuri na anaejua kazi yake....hii michoro kwake sio shida kabisaaaa.....na anaweza kukuchanganyia rangi na zikatoka vizuri.....katika huo ukuta ukiwa na rangi iliyoko hata bila kupaka tena rangi.
hii ni baadhi ya michoro katika vyumba vya watoto.....
Michoro ya ukutani kwenye vyumba vya watoto wadogo chini ya miaka 5
Katika vyumba vya watoto wetu, hua tunaviacha tuu kuta zake zikiwa ziko plain, na baadhi ndio siku hizi wanaweka picha za kubandika katika kuta hizo, Kuta ninazozizungumzia ni zile ambazo hazina madirisha, ama makabati, ni ule ukuta ambao unawekea kitanda, kama ndio headboard etc.......
Hii ni michoro na sio stika ama wallpaper, ukipata mchoraji mzuri na anaejua kazi yake....hii michoro kwake sio shida kabisaaaa.....na anaweza kukuchanganyia rangi na zikatoka vizuri.....katika huo ukuta ukiwa na rangi iliyoko hata bila kupaka tena rangi.
hii ni baadhi ya michoro katika vyumba vya watoto.....
DIRTY TALK
Him
The Action
In this case, simply describing the mise en scène and how you feel will suffice. However, don't feel like obligated to use cuss words if it's not your style. Instead, take a cue from romance novels and utilize under-used verbs like "pulse," "swell," and "throb."
Your Fantasies
Stock Dirty Phrases
"Oh, yeah, right there!"
"That feels amazing"
"Don't stop, harder"
"I want you so bad"
"Give it to me!"
"You animal!"
Get Creative
Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume tunakuwa katika uwanja mpana zaidi wa tafakari za kibaiolojia na kisaikolojia walizonazo wanaume. Lakini kwa kufupisha mlolongo wa mambo sehemu kuu tatu zinaweza kabisa kukidhi mchanganuo mzima wa jinsi tatizo hili linavyowasumbua wanaume wengi duniani.Sehemu kubwa ya malalamiko ya wanaume katika sakata hili yanagusa zaidi maeneo matatu ambayo ni KUKOSA MSISIMKO, KUSHINDWA KURUDIA TENDO NA KUKOSA KABISA NGUVU, huku kufika kileleni mapema kukihusishwa pia kama pacha wa janga hili ambalo linawasumbua zaidi wanaume, ingawa na wanawake wanakabiliwa na sehemu ndogo ya tatizo hili.Hata hivyo uchunguzi wa hivi karibuni uliowahusisha wanaume wanaofika kliniki au kupata tiba za tatizo la upungufu wa nguvu za kiume umeonesha kuwa, sio wanaume wengi wenye sababu za kibaiolojia zinazowafanya wakose nguvu za kiume, isipokuwa wengi wao huwa na matatizo ya kisaikolojia zaidi ambayo wahusika wanaweza kujiponya nayo bila hata kutumia vidonge wala dawa za miti shamba. Ingawa Matabibu wanataja magonjwa ya moyo, kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya zinaa, unene wa kupita kiasi, umri mkubwa kuwa ndiyo chanzo cha wanaume kupungukiwa na nguvu za kiume, lakini imebainika kuwa idadi kubwa ya wanaume wanaofika hospitalini kutafuta nguvu za kiume hawana magonjwa hayoHuu ni ushahidi kuwa wanaokabiliwa na janga hili wamebeba tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kimawazo zaidi kuliko hali halisi. Ukweli wa mambo ulioibuliwa na wanasaikolojia umebaini kuwa, wale wote wanaolalamikia/lalamikiwa kuwa hawana nguvu iwe ya kufika kileleni mapema, kutokuwa na msisimko na kushindwa kurudia tendo wamekosa maarifa tu ya kufahamu na hawaijui miili yao na kwamba wanaishi kwa kusikia zaidi ya kujitambua.Katika hali ya kawaida kila mwanadamu ameumbwa kwa njinsi yake na inapotokea kushabihiana basi ni bahati, lakini mara nyingi usawa hupatikana kwa mmoja kujifunza au kusaidiwa kufikia kiwango cha mtu anayemuhitaji kuwa nae katika maisha hasa ya kimapenzi. Jambo hili wataalamu wanasema kuwa miili iko tayari kutii mafunzo na kubadilisha tabia zake kulingana na utashi wa mhusika. Tatizo kubwa lililopo kwa wapenzi wengi wanaolalamikia upungufu wa nguvu ni kwamba maisha yao wanayachezea kwenye viwanja vya wenzao wanaokutana nao katika vijiwe na sehemu za kazi. Usikivu wa mazungumzo toka kwa wanaume wengine wenye uwezo wa kwenda mara nne hadi saba katika tendo au wanatumia dakika arobaini kufika kileleni umewafanya wanaume wengi kujihisi tu kuwa wao wanakasoro eti kwa kuwa huishia mara mbili au moja katika kufanya tendo. Dhana ya kujiona ni mwenye kasoro inapojengeka akilini mwa mwanaume, huchipua hofu na hatimaye kumfanya ashindwe kabisa kusisimka anapofikiria au kukutana na mwanamke. Matokeo ya hangaiko la akili hushusha uwezo wa mwili na kumuongoza mtu kwenye kuwaza ugonjwa kisha kukimbilia hospitali au kwa waganga kutafuta tiba ya ugongwa ambao kimsingi hanao.Lakini ukweli uko wazi kwamba kukimbilia kutafuta uwezo wa kufanya mapenzi mara sita au saba hakumfanyi mwanaume awe mlinganifu mwenye kusifiwa na wanawake wengi, kwani si wanawake wote wana uwezo wa kufanya mapezi kwa raundi hizo na si wote wanapenda kutumia takika 30 kucheza mpira wa kikubwa, wengine hukinai mapema na huona kero kuwa na wanaume ving’ang’anizi wenye sifa za kuganda wanapopewa.Kwa kufahamu haya utagundua kuwa kukimbilia kutafuta tiba ya kumudu kwenda mara saba ni jitihada mfu kabisa zisizohitajika katika maisha ya mwanaume hasa ukizingatia kwamba wenye uwezo wa kufanya mapenzi mara nyingi hawakuzaliwa hivyo, bali walijizoeza kupitia mazingira ya malezi na makuzi yao. Maana hawezi kuwa mzoefu wa raundi mvulana aliyelelewa katika mafundisho ya kukatazwa ngono na kulindwa hadi akakakua.Kadhalika hawi hodari wa kimapenzi msichana aliyefundishwa kujitunza, yote yatakayofuata kwa mvulana au msichana humea baada ya kupandwa na tabia chipukizi za ukubwani. Kwa msingi huo mwanaume anajukumu la kuutengeneza mwili wake uwe katika staili aitakayo. Ndiyo maana kuna wengine hawamudu kulala bila kufanya ngono, hii ikiwa na maana kuwa wamejizoeza tu, si kwamba wameumbwa na nguvu hizo.Labda ili kufikia kilele cha somo hili ni vema tukalejea matatizo matatu niliyosema hapo juu ili tujue ni jinsi gani tunaweza kuepukana nayo bila hata kumeza vidonge na tukawa wanaume wa mbegu kama wengi wenu mjuavyo. Kwa kuanza tuzungumzie Kukosa msisimko. Hapa tunatakiwa kuajitambua sisi wenyewe kwanza, tukijua historia na mazingira yetu ya kimapenzi.Kwa wanaume ambao wamebanwa sana kikazi na hufanya mapenzi mara moja moja, hukabiliwa na tatizo la kukosa msisimko kwa sababu miili yao imezoea. Sasa ili kuifanya ichangamke lazima waanze kuirejesha kwa kufanya mapenzi mara kwa mara na kwa raundi chache. Kisha wanatakiwa kufanya mazoezi na kula vyakula, vinywaji vyenye nguvu ili kujipa nguvu.Pia kama mwanaume ameishi na mwanawake kwa muda mrefu na amekuwa na desturi ya kufanya mepenzi mara kwa mara katika mazingira yale yale anaweza kukumbwa na kasoro hiyo. Hivyo anashauriwa kubadili mazingira ya kufanyia mapenzi, kupeana mahaba mapya, kuamsha mapenzi kwa kujaliana, pia kuondoa fikra zote zenye kukinaisha ikiwa sambamba na kuzingatia usafi wa mwili. Yakifanyika hayo mwili utaitikia taarifa ya akili na nguvu zitapatikana.Kwa wanaoshindwa kurudia tendo wanatakiwa kufuata kanuni hizo hapo juu. Jambo kubwa ni suala la kuuzoeza mwili. Usiulazimishe kuanza mara moja kwenda mara nyingi wakati mapenzi yako yamekuwa ya kuiba mpaka baba alale na wakati mwingine muda wako wa kutoka kazini umebana na hivyo kukufanya ufanye mapenzi ya chap chap kila siku. Ukiwa mtu wa namna hii haiwezi ikatoke siku moja ghafla tu ukafanya mpenzi mara tatu bila kuchoka. Pia inawezekana mwanaume akashindwa kurudia tendo si kwa sababu hana nguvu bali hapewi ushirikiano wa kutosha toka kwa mpenzi wake. Hivyo wakati wa kutafuta uwezo wa kwenda raundi nyingi ni vema usaidizi wa mwanamke ukatolewa, isitokee kupokea lawama tu za “huwezi, sijatosheka” kwani hizo ndizo zinazowafanya wanaume washindwe kabisa kwa hofu kuwa wanaaibika. Mawazo ya kuaibika yanapopewa kipaumbele huufanya uume kuzidi kusinyaa, kwa maana hiyo ni vema kuyatupilia mbali na kuacha kujihukumu.Pia kuna hitilafu ya wakati wa kuridhishana, inaweza kutokea mwanamke akawa kamaliza raundi yake ya kwanza, wakati anaingia msisimko wa pili mwanaume anafika kileleni, kinachotokea ni mwanamke kumlazimisha mwanaume arudie tendo kwa muda mfupi tangu amalize, jambo ambalo ni vigumu. Sasa ikitokea mwanaume kachezewa na hana msisimko anapata hofu kuwa haweze, ikijengeka hivyo hata iweje jambo halitawezekana tena. Hivyo ni bora kupeana muda wa kupumzika kabla ya hatua ya pili ya mchezo.Pale inapotokea hamasa ya kurudia haipo fikra za mwanaume zisipewe nafasi ya kushindwa kwani nyakati, mchoko, makujukumu, hofu za maisha na mambo kama hayo yanapokuja katika siku ya kustarehe ni wazi kuwa kiwango cha ufanyaji mapenzi kitakuwa chini na hali hii huwatokea wanaume wote, hata walio hodari wa kwenda raundi kumi kwa siku.Sambamba na hilo wanawake wanashauriwa kutoonesha kujali pindi inapotokea hali hiyo, badala yake wawaambie wenzao kuwa siku hiyo inatosha hata kama hawajatosheka, lengo ni kuondoa hofu ambayo ndiyo msingi wa wanaume kuishiwa uwezo wa kufanya mapenzi. Hata hivyo maudhi, kufanya mapenzi na usiyempenda, msongo wa mawazo na kutokuaminiana huchangia kupoteza msisimko wa kuwa ‘kidume’.Ushauri wangu ni kwamba chochote ambacho unataka mwili wako ukifanye lazima uuzoeze. Ukizoea kuamka saa 12 asubuhi mwili utatii kanuni hiyo. Na ukizoea kufanya mapenzi kila siku mara mbili au tatu hali itakuwa hivyo. Mwisho katika sura hii ni vema wanaume na wanawake wakajifahamu kuwa uwezo wa kufanya mapenzi unapungua kufuatana na umri isitokee mtu akakosa raha kisa hawezi kwenda mara nyingi kama zamani wakati anajua kabisa umri wake umekuwa mkubwa. Jamani kutafuta nguvu za ujana zirudie uzeeni ni kujipa taabu ya bure. Ukiona umeingia kwenye utu uzima na mwili wako unaishiwa uwezo, kubaliana na hali. Lakini jambo la kushangaza siku hizi hata vikongwe wanapanga foleni kwa waganga kutafuta tiba ya kufanya mapenzi mara tatu kwa siku! Mapenzi yanataka uwezo wa akili na mwili tusishindane na uwezo asili tutapoteza muda na pesa bure.Tatizo la mwisho ambalo nalo linatajwa kuwasumbua zaidi wanaume ni maumbile madogo ya uume. Wanaume wengi wamekuwa wakilalamika kuwa maumbile yao yanawazuia kuwapa dozi wapenzi wao. Lakini kama nilivyosema huko nyuma kwamba mapenzi hayana kanuni kwamba lazima mtu awe hivi ili amtosheleze mwenzake. Kinacholeta raha katika mapenzi ni hisia, hii ikiwa na maana kwamba mwanaume au mwanamke anaweza kufurahia mapenzi kwa kutomasana na kuhamasishana kwa viungo vingine vya mwili na kujikuta wameridhika hata bila ya kuingiliana.Kwa maana hiyo wale ambao wanamaumbile madogo wanaweza kutafuta wanawake ambao nao wanamaumbile ya aina yao. Baadhi ya watalaam wanasema kwamba kwa kawaida umbile la nyeti za mtu linakwenda sambamba na urefu wa mwili wake. Kwa maana hiyo wanawake wafupi, ingawa si wote wanatajwa kuwa na nyeti zenye ukomo mfupi zaidi ya warefu na wembamba wa umbo. Mbali na chaguo la mtu mwenye kuendena naye umbo, wanaume wenye kasoro hii wanatakiwa kujifunza sana michezo ya kimapenzi ambayo itawasaidia kuwafikisha kileleni wapenzi wao. Ni muhimu kwao kutumia sanaa na mitindo inayopunguza umbali na ukomo wa nyeti za kike.Mwisho ni misingi ya tiba hii:
MOJA ni kuepuka hofu. Ikitokea siku moja umeshindwa katika tendo haina maana una kasoro, bali ni hali ya kawaida, hivyo usiingize huzuni na hofu utakuza tatizo. Hivyo kwa wale wenye tatizo hili wapunguze wasiwasi na wajiamini kuwa hawana tatizo.
PILI, nguvu za kiume zinahitaji mwili wenye nguvu, hivyo ni busara kula lishe bora na kufanya mazoezi yasiyokuwa makali sana.
TATU, kumfundisha mwanamke namna ya kukusisimua.
NNE, kuepuka mawazo ya kuhuzunisha wakati wa tendo.
TANO, kupata muda wa kupumzisha mwili. SITA, kuepukana na pupa, tumia muda usiopungua takika 20 kufanya romance.SABA, kujiamini.
By Steve & Becky Holman
Did you know that once you hit 40 years of age, whether you're a man or a women, your body starts aging FASTER than normal? Studies have shown that without the proper nutrients and exercise, your body will age about 6 months EXTRA for every year that passes. Think about that! If you are 40, that means by the time you hit 44 you will LOOK and FEEL 48. And by the time you reach 60, you will LOOK and FEEL 70 YEARS OLD! We see this every day... just look around you.Did you know that 90% of people over the age of 35 lose enough muscle every year to burn off an additional 4 pounds of body fat? That means you not only lose the only thing on your body that creates shape, tone, and strength—you also gain more fat every year, even if your calories stay the same.
Did you know that all of this is reversible at any age? That there are specific ways to move, eat, and think that tell your brain to STOP this rapid aging process... and even SLOW IT DOWN to the point where you're aging less than a year for every year? That means you can look younger at 40 than you do at 35... or if you're like Becky and I, younger at 50+ than we did at 40!
This is not fantasy talk. This does not require a boatload of anti-aging drugs, supplements, or gimmicks. And, this works for anyone, male or female, and works at any age. 35, 45, 55, 65, 75... you name it. The biology is exactly the same.
My years as editor-in-chief at Iron Man Magazine have allowed me to peer into the secret routines of the anti-aging experts. Over the years, both Becky and I have picked up SO many tips, tricks, and strategies that have allowed us to literally reverse the aging process, at least from a cellular level. That means our body's look, feel, and MOVE younger than our chronological age.
We've taught this System to countless men and women over the years, and it always begins with these 5 key principles you must apply in order to STOP the rapid onset of aging that's going on right now, reverse it, and begin "aging backwards" by restoring your body's natural youth hormones.
That said, we have to warn you: What you are about to hear may go against all the conventional diet and exercise advice you've been hearing. That's because the world has, to be utterly frank, gone soft! "Core training", hot yoga, spin classes, tai chĂ all of these are just fine, but they won't slow your aging, and they certainly will never shape your muscles or burn off stubborn body fat. No way!
These 5 steps reveal the things you absolutely MUST AVOID if you want to slow the aging process, reclaim your health, and achieve your ideal body.
What you need is a splash of cold water, a touch of Old School, and the honest truth. Sound good? Let's dive in!Step 1: Forget Low-Fat Diets
Low fat everything has been the craze now for decades and look around. What has that wonderful bit of advice done for the bodies you see? We're fatter, sicker, and more addicted to sugar and carbs than any other time in history. And, we're passing these habits to our kids.Fats are not to be feared – they're to be embraced. They do not make you fat; rather, they help your body regenerate your power hormones. Testosterone, the 'strength' hormone, for example, is the direct result of cholesterol and dietary fat intake. That's right: "Cholesterol" isn't a dirty word! Your body needs dietary fat and cholesterol in order to produce ANY AND ALL vital hormones.
People on low fat diets look drawn, gaunt, and weak. They are often sick, sometimes to the point of literally breaking down. And, they can never just enjoy eating out. Every meal and every gram must be accounted for. Do you really think this will make you younger? Of course not... it will worry you to death if it doesn't kill you first!
Step 2: Stop Running in Circles
Gym classes can be fun, if you like sitting in one place and torturing yourself. But have you noticed how little people change their bodies in these classes? Sure, it's good "cardio", but cardiovascular conditioning can be gained with far less time and effort.Treadmills, and any form of endurance training (especially running) does very little to help the age reversal process. Many times, these long-duration exercise bouts accelerate the aging process by increasing free radicals. These free radicals are scavengers that prey on your body's essential nutrients and tissues.
There's a smart way to exercise... we'll cover that in a minute. And, what's wonderful is that it takes you about ¼ the time of traditional workouts. We'll cover more details on the next page.
Step 3: Stop Blaming Everything On How Old You Are
The guys to the left are not fat because they are old—they're fat because they eat, think, and move like a fat, old, dying person! Becky and I are both in our 50s—older than the guys in this photo—and I still sport a nice six-pack, and Becky transformed her body from the typical "middle age mom" to a slim, toned, and super-sexy woman who looks 10 years younger. (See the next page for photos!)Listen: Your body doesn't own a clock. Studies have shown that men and women in their 90s were able to gain muscle tone in just a matter of weeks of simple weight training. I've personally seen men and women transform their physiques at literally all ages—25 to 95!
If you're around those naysayers who are constantly talking about growing old, all their aches and pains, and how life is just down hill after 40—LEAVE! Surround yourself with positive thinkers who absolutely crave a challenge. A challenge is what keeps you YOUNG, and the best challenge there is happens to be taking control of your health and body.
We'll show you HOW we do that on the next page.
Step 4: Avoid Chronic Dehydration
Water isn't just "good for you" — water burns fat. Water suppresses hunger. Water renews your skin. Just drinking 12 ounces of pure water every day can take a few years off your face in a matter of weeks. You'll also drop fat, have more energy, and save your kidneys and liver from chronic overwork.When your kidneys are taxed from too little water, your liver has to take over. Now, get this: Your liver is your number one fat-burning organ. Do you REALLY want it processing liquids and toxins rather than BURNING FAT? No way, right? Well, grab a glass of water, and watch the mirror. Within a few weeks, the change to your face and body will be noticeable.
Step 5: Work Out LESS (Yes, Less)
If you don't work out at all, you're going to lose muscle tissue every year. That means you'll get fatter and flabbier each and every year with less shape and more sag. Is this what you desire? No way, right?Well, the answer is old school resistance training. Here's the secret: hardly anyone is doing it right!
Becky and I have seen literally thousand of pro fitness athletes train over the years. The ones who looked the best — and that means looked the youngest, most toned, and had the least amount of unwanted fat — were the ones who left the gym while others were still warming up!
Over the past decade, Becky and I have developed a men and women's workout system that we call F4X Training System. This is a revolutionary way of combining four specific exercises done in literally a matter of minutes. That's ALL YOU NEED... And don't let anyone tell you otherwise!
That's right: We do not do endless cardio sessions (the F4X Training System is a great cardiovascular workout) and we do not spend an hour a day in the gym. We have a life, thank you. We have kids, and we value being both fit and real people at the same time. The F4X Training System was our personal breakthrough to achieving our ideal bodies, staying in tip-top shape with minimal time, and having a life outside a gym.
Tofauti ya ubongo wa mwanamke na wa mwanaume. (Human brain analysis) - By Giningi Siyabonga (Braza Joni)
1. Ubongo wa mwanamke unaweza kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja; mfano kuzungumza kwenye simu na kufuatilia kipindi kwenye TV. Mwanaume hawezi.
2. Lugha: wanawake wanaweza kujifunza lugha nyingi kwa urahisi. Chukua mtoto wa kike na wa kiume wenye umri wa miaka mitatu. Mara nyingi wa kike atakuwa anajua maneno mengi kuliko wa kiume.
3. Kusema uongo: mwanaume akimdanganya mwanaume uso kwa uso ni rahisi kushtukiwa. Wanawake hugundua ukweli kupitia uso wako kwa 70%, kupitia body language yako 20% na 10% kupitia maneno yako. Ubongo wa mwanaume hauna uwezo wao ndiyo maana ni rahisi mwanamke kumdanganya mwanaume uso kwa uso. Guys, next time ukiwa unamdanganya msichana ni better mkiwa hamko uso kwa uso.
4. Uwezo wa kutatua matatizo: mwanaume akiwa na matatizo, ubongo wake huyachukua na kuyatenga katika makundi mbalimbali na kisha huanza kutafuta suluhisho moja baada ya jingine. Mwanamke akiwa na matatizo ubongo wake hauwezi kuyatenga na badala yake hutaka mtu amsikilize. Baada ya kumwambia mtu matatizo yake yote akili yake hupata kiwango fulani cha utulivu na huwa mara nyingi hajali kama yatatuliwa au la.
5. Mahitaji: Wanaume wanahitaji heshima kwenye jamii, mafanikio, sifa, nk.; wanawake wanapenda mahusiano, familia, marafiki, etc.
6. Kuongea: mwanamke mara nyingi hutumia lugha ya kificho. Mwanaume hutumia lugha ya moja kwa moja.
kwa wanachuo wote wa TEKU especially first year course work za TED 203 zimeshawekwa TAIS
The 18 Worst Things For Left-Handed People
1. Spiral Notebooks
2. Writing in a 3-ring binder
3. Only 1 gross lefty glove in gym class
4. Only 2 pairs of the green lefty scissors in class, 3 lefty kids.
5. Ballpoint pens don’t work as well because you’re pushing, not pulling the ball
8. iPad Kindle app - left side is back page
9. Driver’s cup holder is for the right hand
11. Dying sooner, so becoming a zombie sooner
12. These desks
13. Measuring cups show you the stupid metric side
15. Made for righties
16. Cord on the credit card machine pen never long enough
18. For which someone invented THESE
HALI YAZIDI KUWA TETE KATIKA CHUO KIKUU CHA TEOFELO KISANJI, UONGOZI WA CHUO NAO WATOA TAMKO .